Wiki ya usalama barabarani imefunguliwa rasmi na makamu wa Rais Samia Suluhu na maadhimisho hayo yanafanyika mkoani Kilimanjaro katika viwanja vya mashujaa.
 |
| Makamu wa Rais akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa polisi na waziri wa Mambo ya Ndani |
Wadau kutoka sehemu mbalimbali wameungana katika kutoa elimu na huduma mbalimbali kuhusu usalama barabarani.
 |
| Irene Musellem kutoka RSA Tanzania akiwapa elimu ya usalama barabarani katika banda la Mabalozi wa Usalama Tanzania |
 |
| Gerald Erasto kutoka Anglogold ashanti (GGM) akitoa elimu ya usalama barabarani katika banda lao la maonyesho |
 |
| Mhandisi Leonard Saukwa kutoka Wizara ya Ujenzi akitoa elimu kuhusu barabara kwa watoto waliokuwa katika maonyesho |
Maadhimisho hayo yalipambwa kwa maandamano ya madereva mbalimbali
 |
| Madereva Bodaboda katika maandamano |
 |
Mabalozi wa Usalama Barabarani wakiwa katika maandamano katika uzinduzi wa wiki ya nenda kwa Usalama Barabarani
|
No comments:
Post a Comment