Burt award ni mashindano ya hadithi kwa lugha ya kingereza yanayolenga hadithi zitakazosomwa na watoto au wanafunzi kuanzia miaka 12 mpaka 18, rasmi yalianzishwa mwaka 2008 kwa Tanzania, mashindano haya yana ratibiwa na Children Books Project (CBP).
Mwaka huu mshindi ni Elias Mutani ambaye kitabu chake cha The little Missionary with Golden paper knife kimeibuka kidedea.
|
Elias Mutani akipokea zawadi na mkono wa pongezi kutoka kwa mgeni rasmi.
|
|
Mgeni rasmi Habib Sentu kutoka Taasisi ya Elimu akitoa salamu zake kwa wageni waliohudhuria halfa ya ugawaji tuzo. |
|
Kushoto Mwenyekiti wa Bodi ya CBP Abdulahi Saiwaad, Pili Dumea katibu mtendaji CBP, mwandishi nguli Richard Mabala, Elias Mutani, Habib Sentu, Gabriel Kitua kutoka PATA na mwandishi Nahida Esmail. |
|
Richard Mabala akiweka sahihi katika kitabu kama ishara ya uwepo wake na kuweka ushawishi kwa wanafunzi kupenda kusoma vitabu vya hadithi. |
|
Mshindi Elias Mutani katika picha ya pamoja na wanafunzi na mwalimu wao kutoka Tambaza Sekondari. |
Nawaalika wote kusoma kitabu cha THE LITTLE MISSIONARY WITH GOLDEN PAPERKNIFE. Pia shukrani sana Zahara kwa "footage" nzuri
ReplyDelete